MERTeSACKER AMFOKEA OZIL HADHARANI
Nahodha wa Arsena Per Mertesacker
baada ya kipigo cha magoli 6-3 toka kwa Arsena alionekana akimfokea mchezaji mwenzake toka Ujerumani Mesut Ozil.
Chanzo cha tukio hilo ni kitendo cha Ozil
kukataa kwenda kuwapigia makofi ya shukrani mashabiki wa Arsenal waliosafiri
kwenda kuishangilia timu yao katika uwanja wa Etihad.
Mertesacker alikasirishwa na kitendo hicho
na kuamua kumfata Ozil na kuanza kumpa maneno makali,ambapo manzo Ozil alijaribu
kujibu lakini mwishoni akaamua kukaa kimya.
Mertesacker ni kipenzi cha mashabiki wa Arsenal kwa jinsi
anavyoichanganya nao kama timu ikishinda ua hata kupoteza mchezo.



.jpg)

No comments:
Post a Comment