Katika michezo iliyochezwa ya ligi kuu ya
Vodacom msimu huu,mechi inayosemekana kwamba ilikua ni nzuri kuliko zote ni kati ya Azam na Mbeya
City iliyochezwa katika uwanja wa Azam chamazi Dar.
Arsenal wamezidi kujikita katika
uongozi wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kuwafunga Southampton kwa magoli 2-0,
magoli hayo yote yalifungwa na Olivier Geroud moja kila kipindi.