David buruan;
Kila mchezo unaokuja ni fainali
Kipa wa timu ya soka ya Mbeya
City ya jijini Mbeya, David Buruan amesema sasa hivi wanajipanga ili kila
mchezo watakaocheza uwe kama ni fainali, hivyo wapo makini sana kuhakikisha
wanapata pointi tatu katika kila mchezo.


