Pamoja kua na washambuliaji mahiri kama
Fernando Torres, Samuel Etoo, na Demba Ba, lakini kocha wa Chelsea Mourinho
amesema timu yake haina washambuliaji wa kuweza kuwapatia ubingwa.
Magoli
mawili ya haraka haraka yaliyofungwa na Dany Welbeck na jingine lililofungwa na Tom Cleverley
yalitosha kuwafanya Man united kupata ushindi katika ligi ya Uingereza baada ya
kupoteza michezo miwili mfululizo.