MECHI YA
KARNE
Tz Prisons
na Mbeya city
IMEANDIKWA
NA JOEMAN JOH, MBEYA/picha toka vyanzo mbali mbali.
Jumapili
tarehe 30,Machi,2014 kutakuwa na mchezo
wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania kati ya Tz Prisons dhidi ya Mbeya City. Hiyo ni
Mbeya derby kwani wote ni watoto wa jijini Mbeya na hata mitaa zinapotoka timu
hizi siyo mbali.

