Saturday, 23 November 2013

Everton yaibana liverpool

          Timu ya Everton imeibana Liverpool kwa kutoka sare ya mabao 3-3 katika mchezo mgumu na wa kuvutia uliofanyika katika uwanja wa Goodison Park.
Huu ni mchezo uliotoa magoli mengi katika mchezo uliozikutanisha timu hizo toka mwaka 1935.
        Iliwachukua dakika tano kwa Liverpool kupata bao la kwanza

Wednesday, 20 November 2013

RONALDO AIPELEKA URENO BRAZIL

               Ronaldo akiwa katika kiwango chake bora kabisa amefanikiwa   kuisaidia nchi yake kuingia katika fainali za kombe la dunia zitakazofanyika nchini Brazil mwaka 2014.

Tuesday, 19 November 2013

Deus kaseke
Engine ya mbeya city

     Ana kasi ya ajabu, anazunguuka uwanja mzima , anapiga chenga  na kutafuta nafasi  kila muda anaokua hana mpira, Si ajabu hadi leo mashabiki wa Simba bado wanamzungumzia, kwani aliwasumbua viungo na walinzi wa timu hiyo kupita maelezo

Monday, 18 November 2013

UHURU ARUDI SIMBA

Uhuru Selemani amerudi katika timu ya Simba baada ya kuitumikia timu ya Coastal Union kwa mkopo.

Sunday, 17 November 2013

Cameroon ndani kombe la dunia

Cameroon wamepata ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Tunisia na kujihakikishia nafasi ya kushiriki kombe la dunia litakalofanyika nchini Brazil 2014.
IVORY COAST YAINGIA KOMBE LA DUNIA

      Goli lililofungwa dakika za nyongeza na  Salomon Kalou lilitosha kuwapa nafasi  Ivory Coast kuungana na Nigeria kutinga katika kombe la dunia nchini Brazil 2014.