Thursday, 1 May 2014

Mahafali ya kidato cha sita sangu sekondari  2014


         Tarehe 30 April, shule ya sekondari Sangu walifanya mahafali ya kumaliza kidato cha sita. Mahafali hayo yalifanyika katika ukumbi wa shule hiyo.Mgeni rasmi  katika mahafali hayo alikua ni katibu wa CCM wa mkoa wa Mbeya.

Tuesday, 29 April 2014

  Hamid mohamed
Mbeya city mpya

 Msimu wa ligi kuu ya vodacomTanzania umemalizia,na sasa hivi mambo yanayojadiliwa ni kuhusu usajili wa timu  zitakazoshiriki ligi hiyo msimu ujao. Moja ya timu hizo ni Mbeya City. Tofauti na timu nyingine, wenyewe wameamua kuwapandisha vijana wao waliokua timu B ili wakafanye kazi pamoja na kaka zao.