Thursday, 1 May 2014

Mahafali ya kidato cha sita sangu sekondari  2014


         Tarehe 30 April, shule ya sekondari Sangu walifanya mahafali ya kumaliza kidato cha sita. Mahafali hayo yalifanyika katika ukumbi wa shule hiyo.Mgeni rasmi  katika mahafali hayo alikua ni katibu wa CCM wa mkoa wa Mbeya.
kutoka kushoto augustin mmasi,abdallah Abdallah,abdulrahman,Stanford na 
Juliana Mwakatobe na Janet Raymond

wacheza show waliokuweo kuburudisha.

Mwapa akivalishwa taji na dada yake

Abdulrahman akiwa na Jesca

HGL CLASS
WANAFUNZI WANAOMALIZA WAKIFURAHIA
WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA.

No comments:

Post a Comment